SIMBA KUKIPIGA KESHO CAIRO

simba sc, ya hapa nchini inategemea kukipiga kesho na timu ya wydad cassablanca ya Morrocco. mchezo huo ambao utaamua ni nanai atakayeendele na klabu bingwa barani Africa, mchezo huu unachezwa baada ya TP mazembe kuondolewa kwenye michuoni hiyo baada ya kumchezesha mchezaji ambaye hakuwa na Itc ya kufanya kazi hapo congo akitokea Experense ya Tunisia. hata hivyo mchezo huu ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka Africa na duniani kwa ujumla, umekuwa na msisimko wa aina yake baada ya kuwa watu wengi wa jiji la cairo wanazijua vizuri timu zinazoenda kuchuana , mashabiki wa zamaleki hawezi kuisahau simba pale walipoitoa kwa matuta zameleki wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbai. kubwa zaidi ni kuwa hawataweza kumsahau mlinda mlango Juma kaseja maana ndiye alikuwa nyota wa mchezo. kama ilivyooada timu zote zimeshafika misri na tayari kwa mpambano wa kesho. mungu ibariki tanzania Mungu ibariki simba sc.

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item