obama awa waiter uingereza

US President Barack Obama and UK PM David Cameron playing table tennis
obama na cameroon wakicheza tennis

rais wa marekani hapo juu pichani licha ya kufanya mazoezi ya kucheza tennis wakiwa wameunda timu na waziri mkuu wa uingereza david Cameroon jana wlito kali ya mwaka pale wlipogeuka waiter kwa kuwahudumia wanajeshi katika chakula cha usiku. Obama ambaye yeye alikuwa anagawa chakula na cameroon alikuwa anaonekana kulifurahia tukio hilo kwani kila alipokuwa anagawa chakula kwa mwanajeshi mmoja alikuwa anaangua kicheko. kama ilivyoada wanajeshi nao hawakuchelewa kupakuliwa chakula na wakuu wao, hata walipo ulizwa na vyombo vya habari vya uingereza kwamba wanalipokeaje tukio hilo wengi walisema hawakutegemea kama ingetokea kuhudumiwa chakula na obama. haya jamani hii ndio michapo tuliyoipata tok hukoooo kwa obaaaaama


Post a Comment

1 comment

Anonymous said...

ilike it
tuambie alijisikiaje kugawa chakula

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item