ligi ya michezo mbalimbali chuo kikuu cha saut-tabora AMUCTA

hatimaye ligi ya michezo mbalimbali ya AMUCTA inatarajiwa kutimua vumbi hivi karibuni. alizungumza na blog hii mmoja wa viongozi wa michezo wa hapa AMUCTA ambaye pia ni waziri wa michezo  wa chuoni hapa amesema kila kitu kimeshakuwa tayari kinachosubriwa ni uongozi kupitisha bajeti ambayo imewekwa, hata hivyo amewataka wanamichezo kusimama kidete na pia kufanya mazoezi ya kutosha ili kuifanya ligi hiyo kuwa na mvuto zaidi. ligi hiyo ambayo itajumuisha michezo mbalimbali kama mpira wa miguu, mpira wa pete , mpira wa wavu, mpira wa kikapu, kuruka kamba na kukimbia mbio za urefu mbalimbali na mshindi katika vitengo hivi atapata zawadi ikiwemo pesa taslimu  na zawadi zingine. pia waziri huyo ambaye anafahamika kwa jina la Johnson ( shaban robert) ametaja rasmi bajeti ya michezo hiyo yote kuwa itagharimu sh.14.5milion za kitanzania. ligi hii itazishiriksha timu za kozi tofauti katika ktiivo cha elimu cha BAED A na BAED B na tayari kila tmiu zimetamba kuibuka washindi katika michuano hiyo. nawatakia kila la heri wanamichezo wote AMUCTA

Post a Comment

1 comment

Anonymous said...

lini kaka hizo mechi zitaaanza

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item