AMUCTA NA UE HAPATOSHI
https://menacotz.blogspot.com/2011/07/amucta-na-ue-hapatoshi.html
Katika hali isiyoya kawaida jumla ya wanafunzi 179 wanasubiri rehema za bursar iliwaweze kufanya mtihani wao wa UE, habari za ndani za kutoka kwa baadhi ya wanafunzi hao zinasema kuwa hata principal wa chuo hiki amesema acha sheria ifanye kazi yake juu ya wale wote ambao hawajakamilisha ada. lakini matatizo mengine ya kuelekea kwenye UE ni pamoja na idadi kubwa ya watu kupoteza ID zao kitu ambacho kinawanyima haki ya kupewa ID za kufanyia mtihani mpaka hapo watakapo lipa 10000/= benki ndipo watakapopewa ID zao. hali hii imezua hali ya wasiwasi kwa watu kama kweli watafanya mtihani huo au la.
Post a Comment