DK. ULIMBOKA APIGWA NA KUJERUHIWA VIBAYA

Hii ni picha iliyopigwa wakati akiwahishwa hospitali kwa matibabu. Dk. ulimboka ni kiongozi wa chama cha madaktari Tanzania (mwenyekiti)na hivi karibuni madaktari wamekuwa wakiishinikiza serikali kuwatimiziaar madai yao. na yeye amekuwa mstari wa mbele kupigania maslahi yao. hata hivyo mpaka sasa haijajulikana mhusika wa tukio hilo, maana ameokotwa leo asubuhi Bunju (msitu wa magwapande) huko Dar es Saalam. Mungu amsaidie apone haraka, maana kwa sasa yupo hospitali ya Taifa ( Muhimbili). Kama MeNaco.com Team tunasikitika sana kwa tukio lililotokea na tunawaomba Jeshi la polisi kufuwaatilia watuhumiwa na kumbaini ni nani aliyehusika.

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item