BREAKING NYUZZZZ: WAISLAM JIJINI DAR WAANZA MAANDAMANO MCHANA HUU,VURUGU KUBWA ZAZUKA KARIAKOO


WAISLAM JIJINI DAR WAMEANZA MAANDAMANO MCHANA HUU KUTOKEA KATIKA MISIKITI MBALI MBALI ILIYOPO KATIKA MAENEO YAO.* *ASKARI WA JESHI LA POLISI WAMETANDA KILA KONA YA JIJI LA DAR ILI KUZUIA KUFANYIKA KWA MAANDAMANO HAYO,YENYE KUTAKA KUACHIWA HURU KWA BAADHI YA WAISLAM,AKIWEPO KATIBU WA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM NCHINI,SHEIKH ISSA PONDA WANAOSHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA MAKOSA MBALI MBALI YAKIWEPO YA UCHOCHEZI WA UDINI.* *KATIKA MAENEO YA KARIAKOO,HALI IMEANZA KUWA TETE KWANI VURUGU NI KUBWA SANA HIVI SASA KATI YA ASKARI POLISI NA WAISLAM HAO. TAARIFA ZAIDI ZITAZIDI KUWAIJIA KADRI TUTKAVYOPATA.

SOURCE: MICHUZI 

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item