HALI TETE YA MAFUTA JIJINI MBEYA, BODA BODA WAVAMIA KITUO CHA MAFUTA CHA ORXY KUTAKA KUHAKIKISHIWA KUWA MAFUTA HAKUNA, HUKU PEMBENI YA BAADHI YA VITUO VYA MAFUTA VIJANA WANAUZA PETROL LITA TANO KWA 20,000 Tshs. SHUHUDIA
https://menacotz.blogspot.com/2012/11/hali-tete-ya-mafuta-jijini-mbeya-boda.html
KITUO CHA ORXY
VIJANA WA BODA BODA WAKIWA WAMEVAMIA KITUO CHA ORXY KUTAKA KUJUA KAMA KWELI KUNA MAFUTA AMA LAH.
HAPA KILA MTU ANATAKA KUSHUHUDIA KAMA MAFUTA YAPO AMA LAH
MENEJA
WA KITUO HICHO ALIYE VAA SHATI JEUPE AKIJARIBU KUWATULIZA WATEJA AMBAO
WANA JAZBA KUBWA YA KUTAKA KUJUA KAMA KUNA MAFUTA AU LAH , NA KUWAMBIA
KUWA WANGOJE KWANZA ACHUKUE VIFAA ILI AWAONESHE KUWE KWELI HAKUNA
MAFUTA.
MKUU WA
POLISI WILAYA YA MBEYA NAE ALIKUWEPO ENEO LA TUKIO,KUWATULIZA VIJANA HAO
NA KUWAHAKIKISHIA KUWA WATAONESHWA KUWA KWELI HAKUNA MAFUTA KATIKA ENEO
HILO.
HAPA KATI KATI WANAPO TAZAMA NDIPO KWENYE TANK LA MAFUTA , VIJANA WANANGOJA KUSHUHUDIA.
KAZI INAANZA SASA YA KUTAZAMA KUWA MAFUTA YAPO AMA HAYAPO, AMBAPO CHUMA MAALUM KINAINGIZWA KATIKA MATANK HAYO SASA
SASA VIJANA WANAHAKIKISHIWA KUWA MAFUTA AINA YA PETROL HAKUNA KATIKA KITUO HICHO CHA ORXY
HII NI FOLENI AMBAYO IMEPIGWA WATU KWENDA KUNUNUA NAFUTA
HII NDIO
INAITWA KUFA KUFAANA WAKATI WENGINE WAMEGOMA KUUZA MAFUTA VIJANA
PEMBENI WAMEJIPATIA AJILA YA KUUZA MAFUTA AMBAPO KWA LITA MOJA NI FEDHA
ZA KITANZANIA 20,000
HAPA MTEJA ANAONDOKA NA LITA ZAKE 5 KWA TSH 20,000
KITUO CHA TOTAL MBEYA MUDA MCHACHE ULIOPITA
HALI HAPA PIA NI TETE SANA KAMA INAVYO ONEKANA MADEREVA WAKIWA NA BODABODA ZAO KUTAKA MAFUTA
KITUO CHA BP MBEYA MJINI
HII NDIO HALI HALISI YA KITUO CHA BP MBEYA
MAGARI YA FIRE(ZIMA MOTO NAYO YAPO )
MZEE MANJI AKIWA ANATAZAMA SHUGHURI NZIMA YA UUZAJI WA MAFUTA
HUU NI MTAA WA WEST STREET AMBAPO MAGARI PAMOJA NA BODA WAMEPANGA FOLENI KUNUNUA MAFUTA
KITUO CHA TOTAL JIJINI MBEYA
CHANZO NA PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG
Post a Comment