COMMUNITY DAY SAUT TABORA (AMUCTA): MWENDELEZO WA HABARI PICHA

 Principal Asantemungu alipotembelea banda DREAM OF AMUCTA
----------
AMUCTA COMMUNITY DAY ni siku ambayo leo kihistoria imefanyika kwa mara ya kwanza na itakuwa ikifanywa kwa kila mwaka. Ikiwa na lengo kubwa la kuwaweka pamoja jamii nzima ya wanachuo wa AMUCTA, kwa awali siku hii imeadhimishwa kwa shughuli kadhaa muhimu kama vile upandaji miti kwenye jengo jipya la chuo, maonesho mbalimbali, na pia burudani kwenye majukwaa na kuhitimishwa kwa michezo miwili ikiwa ni mpira wa miguu na wapete. Principal aliwaongoza watumishi na  wanachuo katika shughuli hizo na hata katika zoezi zima la utoaji zawadi kwa washindi mbalimbali walioshindania kwa nafasi zao.


 Katika banda la dream of AMUCTA
 Librarians.
 Department of Education Foundation

 Principal Asantemungu alipotembelea banda la mchango wa wanachuo kwa jamii nzima ya Tabora

 BPRM mwaka wa kwanza
 Simon (BPRM)
 Principal Asantemungu alipotembelea banda la SOCIOLOGY banda lililosimamiwa na BASO 
 SOCIOLOGY

 Banda la idara ya Lugha

Principal Asantemungu alipotembelea banda la LITERATURE
 Principal Asantemungu alipotembelea banda la GEOGRAPHY



***************
 (PICHA NYINGINE ZITAENDELEA KUKUJIA, ENDELEA KUPITIA MTANDAO HUU)

PICHA: KWA HISANI YA Aloy Son Blog

Related

TABORA 7303391257859696801

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item