EDWARD LOWASSA ATOA MAONI YA KATIBA
https://menacotz.blogspot.com/2013/01/edward-lowassa-atoa-maoni-ya-katiba.html
Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward
Lowassaa kizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika
mkutano bainayao uliofanyika leo katika ofisiza Tume jijini Dar es
Salaam, ambapo alitoa maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba
Mpya. Kuliani Mjumbewa Tume Bi. Maria Kashonda.
WaziriMkuumstaafu, Mhe. Edward
Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassaa kizungumza na wajumbe wa Tume
ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano bainayao uliofanyika leo katika
ofisiza Tume jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa maoni na uzoefu wake
katika uandishi wa Katiba Mpya. Katikati ni Mwenyekiti waTume hiyo, Jaji
Joseph Warioba na Mjumbe wa Tume, Dkt. Salim Ahmed Salim.
Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward
Lowassaa kizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika
mkutano bainayao uliofanyika leo katika ofisiza Tume jijini Dar es
Salaam, ambapo alitoa maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba
Mpya. Wengine pichani ni Wajumbe waTume, Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim
Ahmed Salim, Bi. Maria Kashonda na Dkt. Sengondo Mvungi.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Dk. Salim Ahmed Salim (kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri
Mkuumstaafu, Mhe. Edward Lowassa (katikati) nje ya ukumbiwa mikutano wa
Tume hiyo, marabaada ya Mhe. Lowassa kuwaslisha maoni na uzoefu wake
kuhusu uandishi wa Katiba Mpya. Kulia ni Mjumbe wa Tume, Bi. Maria
Koashonda.
Katibu wa Chama cha Wabunge
Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye piani Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Angelllah Kairuki akiwalisha maoni ya
Chama hicho kuhusu Katiba Mpya kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati
wa mkutano wao uliofanyikaleo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri
Tanzania (ATE), Bw. Almas Maige akizungumza na wajumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba katika mkutano bainayao uliofanyika leo ambapo ATE
iliwasilisha maoniyao kuhusu Katiba Mpya.
Mjumbewa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Omari Sheha Mussaa kizungumza na
ujumbe kutoka Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) katika mkutano bainayao
uliofanyika leo katika ofisi zaTume hiyo, Jijini Dar es Salaam, ambapo
ATE iliwasilisha maoniyao kuhusu Katiba Mpya
CHANZO:FATHER KIDEVU
Post a Comment