Kamati ya Utendaji ya Simba
imepitia na kuidhinisha majina ya wajumbe wa kamati mbalimbali za klabu lengo
likiwa kuiboresha klabu na pia kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya
Vodacom na michuano ya kimataifa ambayo Simba inashiriki mwaka
huu.
Mwenyekiti wa Simba, Mhe,
Ismail Aden Rage, anawapongeza wote walioteuliwa kwa ajili ya kazi hii na
kuwatakia mafanikio mema katika kuijenga klabu ili iwe ya kisasa kama walivyo
wajumbe wenyewe.
Uteuzi huu wa wajumbe
unaanza mara moja na wenyeviti wa kamati hizo wamepewa nguvu ya kuitisha vikao
vya kamati zao mapema iwezekanavyo.
Wajumbe ni
1. DAMIAN MANEMBE-MWENYEKITI
2. IBRAHIM MASOUD-MAKAMU
MWENYEKITI
3. CRESCENCIUS MAGORI
4. KHALID ABEID
5. SAID TULLY
6. DR. KATEGILE
7. ZAMOYONI MOGELA
8. JOHN WILLIAM
(DEL PIERO)
9. YUSUFU MACHO
10. JEFF LEA
11. BITA JOHN
12. SHABAAN
BARAZA
KAMATI YA FEDHA
1. GEOFREY IRICK NYANGE (MWENYEKITI)
2.
RAHMA AL KHALOOS-MAKAMU MWENYEKITI
3. FRANCIS WAYA
4. ZITTO KABWE
5.
JUMA NKAMIA
6. RUGE MUTAHABA
KAMATI YA MASHINDANO
1. SWEDY
MKWABI-MWENYEKITI
2. SAID PAMBA-MAKAMU MWENYEKITI
3. SELEMANI ZEDDY.
(MB)
4. JERRY YAMBI
5. IDDI KAJUNA
6. CHAUREMBO
7. GERLAD
LUKUMAY
8. HABBIB NASSA
9. BUNDALA KABULWA
10. CHARLES HAMKAH
11.
SAID RUBEYA
12. ABDULFATAH SALUM (SAPHIRE)
13. HATIBU MWINYI
(BUSTA)
14. ABDUL MSHANGAMA
15. HUMPHREY ZEBEDAYO
16. MAJALIWA
MBASSA
17. SULEIMAN ZAKAZAKA
18. KESI MOHAMED RASHID
19. MOHAMED ISSA
MBENA
KAMATI YA PROGRAMU ZA VIJANA
1. IBARHIM MASOUD –MWENYEKITI
2.
RUGE MUTAHABA-MAKAMU MWENYEKITI
3. JOSEPH ITANG’ARE-MJUMBE/MLEZI
4.
WILFRED KIDAU
5. MOHAMED ABDALLAH
6. SAID TULLY
7. CANISIUS
MASOMBOLA
8. HAMIS MRISHO
9. DAMAS NDUMBARO
10. TALIB HILAL
Post a Comment