HALI YA D.C.I ROBERT MANUMBA IMEELEZWA KUENDELEA KUWA YA KURIDHISHA


 

Hali ya afya ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini Tanzania, DCI ROBERT MANUMBA, aliyelazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam imeelezwa kuendelea kuwa ya kuridhisha.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa hospitali ya Aga Khan kwa vyombo vya habari, imeeleza kwamba DCI MANUMBA bado amelazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali hiyo, akisumbuliwa na tatizo la Malaria kali iliyoathiri viungo vya mwili wake, na kwamba anaendelea kupatiwa matibabu zaidi.
DCI MANUMBA alilazwa hospitalini hapo tangu Januari 15

Related

DCI MANUMBA 7819017450551578604

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item