KILICHOJIRI LEO FACEBOOK: MKURUGENZI WA TCRA AHOJIWA NA WANATANURU (TANURU LA FIKRA) KUHUSU DIGITAL

>>>MJADALA WA LEO HII JUMAPILI TANURU LA FIKRA 'LIVE'


>>>>MGENI WETU WA WIKI HII ATAKUWA MGURUGENZI WA MAWASILIANO TCRA.

Innocent Prim M. Mungy (PICHANI AKIWA NA MAAFISA WA TANURU MEDIA OFISINI)


>>MWENYEKETI WA MJADALA WETU KWA LEO MIMI MWENYEWE 'BOSS MZITO'

>>>MDA KUANZIA SASA NA KUENDELEA

MADA KUU ITAHUSU KUHAMA KUTOKA ANALOGIA KWENDA DIGITAL.

NA TUTAJADILI CHAGAMOTO ZIFUATAZO.


1.- TANGU 31 DEC TULIHAMA RASMI KWENDA DIGITAL KUTOKA ANALOGIA JE WEWE KAMA MWANA TANURU MTANZANIA UNAIONAJE TECHNOLOGIA HII MPYA..?

2- JE UNA NINI KINAKUSUMBUA JUU YA KING'AMUZI CHAKO NA MFUMO MZIMA WA MATANAGAZO YA DIGITAL...?

3- JE UNA SHAURI NINI KWA SASA JUU YA UJIO WA MFUMO HUU WA MATANGAZO WA DIGITAL...?

4- JE UNAYAFURAHIA MATANGAZO YA MFUMO MPYA...?

PAMOJA NA MENGINE KILA MWANATANURU ATAPATA MDA WA KUULIZA CHOCHOTE KILE JUU YA MFUMO HUU NA MGENI ATAJIBU PAMOJA NA KUTOA ELIMU ZAIDI.

IKIWA SASA NI SIKU 13 TANGU KUZIMWA KWA MITAMBO YA ANALOGIA NA KUTUMIA YA DIGITAL PEKE YAKE..

NI MATARAJIO YANGU KUWA KILA MWANATANURU ATAFUATILIA NA KUJIFUNZA MENGI ZAIDI.

NA PIA SITARAJII KUONA MASWALI YA KISIASA KWENYE JAMBO LA KITAALUMA.

NA NATOA ONYO KWA WOTE WATAKAO HARAIBU MJADALA KWA MAKSUDI ATAFUNGIWA KWA MDA HUO.



ASANTENI SANA WANA TANURU LA FIKRA WOTE-NAWAPENDA SANA.

TANURU LA FIKRA- JANA, LEO NA KESHO
— with Mwigulu Nchemba and 10 others at Mawasiliano Towers-TCRA HQ.
MJADALA WA LEO HII JUMAPILI TANURU LA FIKRA 'LIVE'

MGENI WETU WA WIKI HII ATAKUWA MGURUGENZI WA MAWASILIANO TCRA.
@[1428187196:2048:Innocent Prim M. Mungy] (PICHANI AKIWA NA MAAFISA WA TANURU MEDIA OFISINI)

MWENYEKETI WA MJADALA WETU KWA LEO MIMI MWENYEWE 'BOSS MZITO'

MDA KUANZIA SASA NA KUENDELEA

MADA KUU ITAHUSU KUHAMA KUTOKA ANALOGIA KWENDA DIGITAL.
NA TUTAJADILI CHAGAMOTO ZIFUATAZO.

1.- TANGU 31 DEC TULIHAMA RASMI KWENDA DIGITAL KUTOKA ANALOGIA JE WEWE KAMA MWANA TANURU MTANZANIA UNAIONAJE TECHNOLOGIA HII MPYA..?

2- JE UNA NINI KINAKUSUMBUA JUU YA KING'AMUZI CHAKO NA MFUMO MZIMA WA MATANAGAZO YA DIGITAL...?

3- JE UNA SHAURI NINI KWA SASA JUU YA UJIO WA MFUMO HUU WA MATANGAZO WA DIGITAL...?

4- JE UNAYAFURAHIA MATANGAZO YA MFUMO MPYA...?

PAMOJA NA MENGINE KILA MWANATANURU ATAPATA MDA WA KUULIZA CHOCHOTE KILE JUU YA MFUMO HUU NA MGENI ATAJIBU PAMOJA NA KUTOA ELIMU ZAIDI.

IKIWA SASA NI SIKU 13 TANGU KUZIMWA KWA MITAMBO YA ANALOGIA NA KUTUMIA YA DIGITAL PEKE YAKE..

NI MATARAJIO YANGU KUWA KILA MWANATANURU ATAFUATILIA NA KUJIFUNZA MENGI ZAIDI.

NA PIA SITARAJII KUONA MASWALI YA KISIASA KWENYE JAMBO LA KITAALUMA.

NA NATOA ONYO KWA WOTE WATAKAO HARAIBU MJADALA KWA MAKSUDI ATAFUNGIWA KWA MDA HUO.



ASANTENI SANA WANA TANURU LA FIKRA WOTE-NAWAPENDA SANA.

TANURU LA FIKRA- JANA, LEO NA KESHO


  • 5 people like this.
  • Fredy Mushi ..Karibu sana ndugu Inno Mungy..
  • Semeni Nyerere Hahaha Karbu xana
  • Semeni Nyerere Kwanini Mikoani Dijitali haijapewa kpaumbele? niko bharamulo hapa but nanasa kwa dish
  • Innocent Prim M. Mungy Hongereni wana Tanuru Na heri ya mwaka mpya Na dijitali!
  • Innocent Prim M. Mungy Nyerere Semeni, ikumbukwe kuwa Matangazo ya analojia y'all ikuwa yanapatikana katika miji mi chache sana kutokana Na uduni Wa Teknolojia yenyewe. Asilimia 76 ya nchi haiku wa Na matangazo ya TV ya analojia, isipokuwa wananchi walilazimika kutumia satelite dish. Ni asilimia 24 tu ilikuwa inapata. Biharamulo wanatumia madishi ambapo yanaendeleaje kutumika kwani yako katika mfumo wa dijitali
  • Innocent Prim M. Mungy Fredy Mushi umeingia dijitali au ni miongoni mwa wenye changamoto?
  • Dennis MpendaMungu Karibu sana ndugu Innocent, na naomba nianze na swali moja kwa moja. Je kuna Mkataba umesainiwa kati ya makampuni yanayouza Ving'amuzi na mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kuhusu ulazima wa Ving'amuzi vyao kuonyesha local chanel zote za hapa Nchini?
  • Innocent Prim M. Mungy Tayari jiji la DSM limeingia dijitali, itafuata miji ya Tanga Na Dodoma
  • Fredy Mushi Mkuu, bado sijaingia dijitali. Ila nipo kwenye mchakato..
  • Innocent Prim M. Mungy Asante Dennis, Kwa mujibu wa kanuni Na sheria za Mawasiliano, kila kingamuzi katika vitatu vya watoa huduma hizi, yaani Basic Transmission, Agape Associates Na Star Times wanapaswa kwanza kuhakikisha kuwa chaneli 5 zenye leseni ya kitaifa zinaonekana bure, aidha wote wenye leseni za free to air wanaonekana kule walikopewa leseni tu, yaani kama TV Tumaini au DTV, itaonekana DSM tu. ziko TV stations 26 lakini zina leseni tofauti.
  • Innocent Prim M. Mungy Wana Tanuru, mabadiliko haya ni sehemu ya maamuzi magumu ya kuzifanyia sekta ya UTANGAZAJI kukua baada ya maendeleo yake kudu a Kwa muda mrefu. Baada ya mitambo Kuzimwa kumekuwa Na muitikio Wa watu kuingia dijitali Kwa wingi JAMBO lililopelekea watoa huduma kuzidiwa lakini hadi sasa shwari ukiacha Changamoto kadhaa ambazo tulizitarajia.
  • Innocent Prim M. Mungy Haya I Mapinduzi Na mabadiliko makubwa sana katika sekta ya UTANGAZAJI (Transformation) Na mabadiliko haya yatabadilisha kabisa broadcasting chain yote Kwa maana kila mtanzania ataingia katika teknolojia kuona TV, Na ndio maana wengi tumepata changamoto hata kuunganisha wenyewe ving'amuzi badala y a mafundi Na kupelekea matatizo ya kutoonekana picha Kwa baadhi au wengine kutoka kuangalia TV Kwa kutumia mfumo Wa zamani.
  • Dennis MpendaMungu Je Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA, haioni umuhimu wa kuanzisha Kampuni ya Ving'amuzi hapa Nchini badala ya kuziachia makampuni binafc kutoa huduma hii ambayo, kwa upande wangu naona bado hayajakidhi viwango?
  • Innocent Prim M. Mungy TCRA ni regulator, mdhibiti, hawezi kufanya biashara. Ila tumetoa fursa Kwa yeyote kuwekeza kwenye hilo Na kuhakikisha pia kuna ushindani Wa kutosha ili kuleta Mapinduzi katika bei
  • Frank Kansapa Nataka mkurugenzi anijibu:nani anaye control bei ya vin'gamuzi?na nani anayekagua ubora wake kabla ya kuleta nchini?
  • Frank Kansapa Mwanzoni ulitangaza mwezi desemba mwisho analogia sasa imekuwaje?
  • Innocent Prim M. Mungy Viwango viko sawa, kwanza suala la viwango linasimamiwa Na ITU, International Telecommunications Union ambao huta viwango vya kimataifa, TCRA inayo maabara yake Na kabla ya vingamuzi kuingia NCHINI hupimwa kupewa ruhusa kuwa vimetimiza viwango. Nakuhakikishia hili limezingatiwa, unless Una ushahidi Wa viwango kutofikiwa tunakukaribisha utuletee ushahidi
  • Innocent Prim M. Mungy Mamlaka haisimamii bei, kwani bei inaendeshwa Kwa kupitia ushindani, endapo tu kutoonekana bei unaleta matatizo, Mamlaka huingilia. Hata hivyo zipo taasisi kama fair competition commission Na tribunal ambazo pia huh usiku Na hili la bei endapo bei haiko sawa. Kumbuka kuziweka bei elekezi kwenye Mawasiliano watakaoumia ni watumiaji
  • Dennis MpendaMungu Clauds Tv ni miongoni mwa Chanel zilizopewa leseni ya Kitaifa? Kama jibu ni ndio, kwanini haionekani kwenye king'amuzi cha Star times? Na je! Ili Kituo cha television ipewe leseni ya Kitaifa, inahitaji iwe na vigezo gani?
  • Innocent Prim M. Mungy Sio kweli, hatukutangaza kuwa December ni mwisho maana kuna miji mwingine hata analojia yenyewe haiko, ila tukisema ndio mwisho Wa simulcast, matangazo ya analojia kutangazwa sambamba Na dijitali Kwa miji iliyokuwa tayari Na dijitali, Na tumetoa ratiba ya kuzima nchi nzima tulianza Na DSM, Dodoma Na tanga, then Mwanza, Arusha, moshi Na mwisho Mbeya ambazo tayari zina dijitali. Miji ambayo haijapita inaendelea kutumia analojia hadi dijitali ifike Na ratiba itatangazwa Kwa awamu hadi tarehe 17/06/2015 ukomo Wa analojia duniani. Frank
  • Innocent Prim M. Mungy Clouds bado yuko kwenye Test Signal Na bado hajapewa leseni. Akikamilisha matangazo ya majaribio agape wa leseni ya wilaya, hatimaye ata upgrade Kwa mujibu Wa matakwa yake Na uwezo. Kwa sasa hana leseni ya Kitaifa kama unavyodai.
  • Frank Kansapa naomba majina ya makampuni yaliyopewa leseni za kuingiza hivi vin'gamuzi hapa nchini.
  • Innocent Prim M. Mungy Kesi za ulanguzi ni kesi ya jinai Na ni kazi ya Polisi kukamata wahalifu. Uchunguzi tuliofanya baada ya kupokea malalamiko imegundulika kuwa upo ulanguzi Kwa maduka yasiyo rasmi Na tumetoa taarifa Polisi Na kutoa onyo Kwa wale tuliyowapa leseni endapo ...See More
  • Innocent Prim M. Mungy Basic Transmission, bado haijaanza shi'a kampuni ya Marketing kuuza vingamuzi, lakini Agape Associates wanayo pamoja Na Star Media wenye kampuni ya Kasambala vingamuzi ya Star Times,
  • Dennis MpendaMungu kampuni ya Ving'amuzi ya Star Times ambayo kwa tetesi za mitaani ina ubia na Serikali ya kuingiza Ving'amuzi hivi hapa Nchini. Je! Ni vipe Serikali inaweza kujipatia kodi kutokana na Biashara kubwa inayofanya hivi sasa na kampuni hii ya Star Times?
  • Innocent Prim M. Mungy Kupata leseni ya kitaifa unategemea kwanza uwezo Wa kampuni yenyewe kifedha Na kimpango lakini pia rasilimali masafa, yaani frequency availability
  • Sambala Ole Comrade ....NIMEYAPENDA MASWALI YA LEO KW

Related

TCRA 1997986095633646679

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item