KINANA NA SEKRETARIETI YOTE YA CCM WAENDA KIGOMA KWA TRENI



Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akipanda treni kishujaa huku mamia ya Watu wakishuhudia na kumshangilia sana.


Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma wakati akiwa na msafara wa viongozi wenzake wakielekea mkoani Kigoma leo kwa ajili kuhudhuria sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa CCM. Picha na Bashir Nkoromo

Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha-Rose Migiro akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma leo.
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM ya Wilaya ya Temeke, Emmanuel John hakuwa nyuma kushuhudia tukio la kihistoria la Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akienda kigoma kwa treni pamoja na sekretarieti yake nzima.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akisalimiana na mamia ya watu waliofurika stesheni kushuhudia wakienda Kigoma kwa treni 
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akiwaaga wana Dar Es Salaam muda mchache kabla hajapanda treni kuelekea Kigoma kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM. Wameamua kusafiri kwa treni ili kuwataarifu wadau kuwa usafiri wa treni wa Dar na Kigoma upo imara na wanaiunga mkono serikali kwa jitihada zake za kuifufua reli ya kati.


Baadhi ya Wana CCM wakimuaga Kinana na msafara wake kutoka stesheni ya reli Dar es salaam kwenda Kigoma, leo

Related

TRENI 4889043153253877989

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item