MH.STEPHEN JULIUS MASELE>>(MB)-NAIBU WAZIRI WA MADINI MGENI RASMI LIGI YA VIJANA KAWE CUP 2012/13

..TAARIFA KWA UMMA KUPITIA WANAHABARI JIJINI DAR...
>>MH.STEPHEN JULIUS MASELE>>(MB)-SHY-MJINI-NAIBU WAZIRI WA MADINI>>NDIYE MGENI RASMI WA MASHINDANO YA LIGI YA VIJANA KAWE CUP 2012/13 YALIYOSHIRIKISHA TIMU 16 ZA KATA YA KAWE,FAINALI ITACHEZWA JUMAPILI HII TAREHE 27/1/13 VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERZ-KAWE,MAJIRA YA SAA 10 KAMILI JIONI.>>MGENI RASMI ATAMKABIDHI MSHINDI WA KWANZA NGOMBE NA KIKOMBE,WA PILI MBUZI NA JEZI,HUKU AKIAMBATANA NA KADA WA CCM KATA YA KAWE NDG.JAMES R.MWAKIBINGA AMBAYE ATAKABIDHI ZAWADI KWA MFUNGAJI BORA,MCHEZAJI BORA,KIPA BORA,BEKI BORA,TIMU BORA.
         >>UMOJA NI USHINDI>>NYOTE MNAKARIBISHWA.0717-362313/0753-208555
‎..TAARIFA KWA UMMA KUPITIA WANAHABARI JIJINI DAR...

>>MH.STEPHEN JULIUS MASELE>>(MB)-SHY-MJINI-NAIBU WAZIRI WA MADINI>>NDIYE MGENI RASMI WA MASHINDANO YA LIGI YA VIJANA KAWE CUP 2012/13 YALIYOSHIRIKISHA TIMU 16 ZA KATA YA KAWE,FAINALI ITACHEZWA JUMAPILI HII TAREHE 27/1/13 VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERZ-KAWE,MAJIRA YA SAA 10 KAMILI JIONI.

>>MGENI RASMI ATAMKABIDHI MSHINDI WA KWANZA NGOMBE NA KIKOMBE,WA PILI MBUZI NA JEZI,HUKU AKIAMBATANA NA KADA WA CCM KATA YA KAWE NDG.JAMES R.MWAKIBINGA AMBAYE ATAKABIDHI ZAWADI KWA MFUNGAJI BORA,MCHEZAJI BORA,KIPA BORA,BEKI BORA,TIMU BORA.
 

>>UMOJA NI USHINDI>>NYOTE MNAKARIBISHWA.0717-362313/0753-208555

Related

COLE: HII NDIO XI YANGU MAN UNITED

Mchezaji nguli wa zamani wa Manchester United, Andrew Cole Amekitaja kukosi chake cha Manchester United cha muda wote kupitia mtandao wa Manchester United. Kikosi hicho ni kama ifuatavyo GK: Peter Sch...

BARCA YANYOLEWA NA BAYERN 4-0

  >> Hiki ni kipigo cha aibu kwa Barcelona >> Mara ya mwisho ilikuwa mwaka 1997 waliponyolewa na PSV ya Uholanzi >> Messi alikuwa mpole mbele ya Robben  Alexis Sanchez...

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item