YANGA YA UTURUKI YAICHAPA BLACK LEOPARD YA SOUTH AFRICA 3-2

  >>>Yanga 3-2 Black Leopard



 Golikipa wa timu ya Black Leopards,Ayanda Mtshali akijaribu kuokoa mpira uliotinga kimiani kwa njia ya penati na mchezaji wa yanga,Jerson Tegete,penati hiyo ilipatikana katika kipindi cha kwanza,katika kuoenesha Yanga wako fiti mnamo kipindi cha pili mchezaji akaongeza goli la pili,haikutosha Tegete tena akapachika goli la 3.Ihii ndiyo Yangaa.

 Mchezaji wa timu ya Yanga,Mbuyu Twite akimtoka mchezaji wa timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini.Ama kwa hakika ihiiii ndiyo Yanga ya Uturuki iliotandaza kabumbu safi kabisa ndani ya Uwanja wa Taifa.
 Mchezaji wa timu ya Yanga,Frank Domayo akitaka kumtoka mchezaji wa timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini,kwenye mchezo wao wa kirafiki unaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.
 Baadhi ya mashabiki wakifuatilia mtanange wa Yanga na timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini.
 Mashabiki wa yanga kibao
 Full Nginja ngijaaa

 Mashabiki kwa shangwe kila wakati wakiipa hamasa ya ushindi timu yao ya Yanga.
 Mchezaji wa timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini akitaka kuwapangua wachezaji wa timu ya Yanga,aah iwapi kwa taabu sana kama uonavyo pichani.
 Baadhi ya wachezaji wa Black Leopards ya Afrika Kusini wakiwa kwenye benchi lao
 Baadhi ya makocha wa yanga na wachezaji wakiwa watulia tulii kwenye benchi lao la Ufundi
 Sehemu ya kikosi kazi cha Clouds TV kinachorusha mtanange huo live kupitia Clouds TV jioni ya leo
 Wachezaji wa timu ya Yanga wakiingia iwanja kuiana ngwe ya kwanza.
 Hiki ndiyo kikosi kazi cha Yanga
Kikosi cha Black Leopards ya Afrika Kusini.
Mchezo wa kirafiki baina ya mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati na timu ya Black Leopard ya Afrika kusini umemalizika kwa ushindi wa wenyeji huku mabao yakifungwa na Jerry Tegete (Dakika ya 32,73) na Frank Domayo (Dakika 63). Hongera Wanajangwani.

Related

YANGA 1408528029418087043

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item