SITAISAHAU facebook------------- 20

MTUNZI: Emmy John P.

CONTACTS: 0654 960040

SEHEMU YA ISHIRINI

...
Ikiwa bado sijaweza kusimama. Lile joka lililopotea njia sasa lilionekana tena. Safari hii lilikuwa linakuja kwangu tena.
Bora nife!! Nilijiapiza. Sasa nikaanza kutambaa kumfuata huyo nyoka. Mkononi nikiwa na kisu ambacho nilikiokota, bila shaka ni kile kilichotumika kunikata nyama.
Nikawa natambaa kama joka lile linavyotambaa. Sikuwa naijua nia yangu. Lakini nilihisi ni vyema kufa kuliko mateso haya.
Lile joka likazidi kunisogelea, macho yake makali yakiangaza huku na huko. Urefu wa joka lile la dhahabu likiwa na kipande cha nyama mdomoni ulinitia kwenye hofu. Nikajiuliza iwapo kisu changu kinaweza kupenya katika ngozi yake, nikajipuuza maana kisu changu kilikuwa kidogo sana. Nikasita kutambaa. Nikatulia tuli, huku nikiamini kuwa ni heri linimeze kistaarabu kuliko kunimeza likiwa na hasira baada ya mimi kujaribu kupambana nalo. Nikafumba macho nikakitupa kisu changu chini, nikajinyoosha tayari kwa kumezwa.
Haikuwa ndoto kwamba nikifumbua macho nikutane na mashuka yangu masafi ya kuvutia yakinibembeleza kulala badala yake nilipofumbua macho. Joka kuu hili hapa!!
Ubaridi wake ukapenyeza sasa, lilikuwa juu ya mwili wangu, pumzi zikawa zinaniishia. Ndio ninamezwa au? Nilijiuliza.
SASA ENDELEA>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Related

RIWAYA: PAINFUL TRUTH (UKWELI WENYE KUUMA)------------------- 1

MTUNZI: Nyemo Chilongani MAWASILIANO: 0718 06 92 69 SEHEMU YA KWANZA Msichana Happy alikuwa akilalamikia uchungu ambao ulikuwa umemshika katika kipindi ambacho alikuwa shambani ak...

RIWAYA: MREMBO ALIYEPOTEA-----------------5

MTUNZI: Andrew Carlos MAWASILIANO: 0713133633 SEHEMU YA TANO Ule mkojo uliokuwa ukimchuruzika John kidogo kupitia suruali yake kwa uoga sasa ukawa umeongeza kasi nakuwa mwingi sana hali...

RIWAYA: MREMBO ALIYEPOTEA-------- 4

SEHEMU YA NNE ... Tatizo la kutokuweza kupata mtoto liliendelea sana kumsumbua John Mapunda. Pesa nyingi alizokuwa akizipata kupitia kazi yake ya kusimamia shughuli za urembo hazikuweza kumpa ...

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item