AUAWA KIKATILI KWA KUIBA MAHINDI MATATU - TABORA


Baadhi ya wakazi wa kata ya Kiloleni manispaa ya Tabora wakishuhudia mwili wa mtu mmoja aliyekutwa amekufa baada ya kujeruhiwa vibaya kwa silaha zenye ncha kali na kusababisha kifo chake huko eneo la Ikindwa ambapo imedaiwa kuwa alikuwa akiiba mahindi katika moja ya shamba la mahindi.
Mmoja kati ya askari Polisi mpelelezi wilaya ya Tabora PC Setty akijaribu kupekua mwili wa mtu huyo ambaye imedaiwa kuwa alikuwa ameiba mahindi matatu.
***********************
VIA KAPIPIJHabari

Related

WIZI 5887746159655989450

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item