REAL MADRID V/S BARCELONA 1-1, SI MESSI SI RONALDO


CESC FABREGAS jana usiku aliingia kwenye orodha ya wafungaji katika mchezo wa raundi ya kwanza Kombe la Mfalme wakati alipofungia Barcelona bao la kuongoza katika dakika ya 50 kupitia pasi ya Lionel Messi.
Lakini beki kinda wa kifaransa, Raphael Varane aliyeonyesha kiwango kikubwa, aliisawazishia Real Madriad katika dakika ya 85.
RISING STAR ... Raphael Varane (centre) scored and was fantastic throughout
Wafungaji wanaoongoza katika timu hizo, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo walijikuta wakitoka uwanjani bila goli.
Ronaldo alicheza vizuri na ilikuwa ni bahati mbaya kwake kutoka mtupu.
Kiungo wa Barcelona, Xavi aligonga mwamba katika hatua za mwanzo na pia alipiga shuti lililokolewa na beki wa zamani wa Chelsea, Ricardo Carvalho kabla mpira haujaingia wavuni

Related

RONALDO 8389864472173784635

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item