TANZANIA YAICHAPA CAMEROON >>>>>>>>>>>>>>>HAYA NDIO MATOKEO YA MECHI ZA KIRAFIKI ZA FIFA

https://menacotz.blogspot.com/2013/02/tanzania-yaichapa-cameroon-haya-ndio.html
![]() |
Beki wa Stars, Erasto Nyoni akimtoka beki wa Cameroon, Assou Ekotto |
![]() |
Mbnwana Samatta akipambana na mabeki na kipa wa Cameroon |
![]() |
Kiungo Frank Domayo wa Tanzania kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Cameroon, Nyom Allan |
![]() |
Wachezaji wa Tanzania wakishangilia bao lao lililofungwa na Samatta waliyemdandia |
![]() |
Kikosi cha Cameroon leo |
![]() |
Kikosi cha Stars leo |
![]() |
Samatta akimfunga tela Ashu Clovis |
![]() |
Thomas Ulimwengu akiwalamba chenga mabeki wa Cameroon |
![]() |
Beki wa Cameroon, Aminou Bouba akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Tanzania, Mwinyi Kazimoto |
![]() |
Hapa ndipo Stars ilipopata penalti, beki Ngoula aliupitia mpira miguuni mwa Samatta akitokea nyuma ndani ya eneo la hatari |
![]() |
Beki wa Cameroon, Assou Ekotoo akimiliki mpira mbele ya kiungo Mrisho Ngassa wa Tanzania |
![]() |
Ekotto akimiliki mpira mbele ya Ngassa |
![]() |
Beki Pierre Wome wa Cameroon akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Samatta, huku Ekotto kulia akiwa tayari kutoa msaada |
Post a Comment