>> Hiki ni kipigo cha aibu kwa Barcelona
>> Mara ya mwisho ilikuwa mwaka 1997 waliponyolewa na PSV ya Uholanzi
>> Messi alikuwa mpole mbele ya Robben

Alexis Sanchez wa Barcelona akiwa hoi bin Taabani
wachezaji wa Bayern wakishangilia
Benchi la Ufundi la Bayern wakishangilia
Kocha wa Bayern akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mechi
Lionel Messi akiwa haamini Macho ya kile kinachotokea uwanjani
Muller aliyefunga magoli mawili jana akishangilia moja ya goli lake
Ribbery na Messi wakichuana vikali
Robben akishangilia
Kocha wa Barca akiwa Hoi hajielewi baada ya timu yake kufungwa goli 4-O
Post a Comment