FACEBOOK CHATTING ----------------1


MWANDISHI: NYEMO CHILONGANI.

MAHALI: DAR ES SALAAM.

SIMU: 0718 069 269



MSICHANA: Mambo Nyemo.
MIMI: Poa. Mzima?
MSICHANA: Mzima wa afya. Unafanya nini?
MIMI: Nachati na friends pamoja na kuangalia muvi kwa kuibia.
MSICHANA: Hata mimi nachati pia. Muvi gani hiyo unayoangalia kwa kuibia?
MIMI: Message in the Bottle.
MSICHANA: Mmmh!
MIMI: Mbona mguno tena?
MSICHANA: Hiyo muvi mpya?
MIMI: hapana. Toka mwaka 1999.
MSICHANA: Na mimi nataka nije kuangalia. Nakaribishwa?
MIMI: Duh! Poa. Karibu.
MSICHANA: Hahahaha! Inaelekea u kijana mcheshi sana.
MIMI: Kitu gani kimekufanya kuhisi hivyo?
MSICHANA: Basi tu. Nimejirubuni kusema hivyo.
MIMI: Yeah! Hivyo ndivyo nilivyo.
MSICHANA: Unaishi wapi?
MIMI: Tanzania.
MSICHANA: Yeah! Najua. Ila sehemu gani?
MIMI: Dar es Salaam.
MSICHANA: Nafahamu. Ila Dar es Salaam kubwa sana.
MIMI: Naishi Tandale. Unapajua?
MSICHANA: Huwa ninapita tu na gari mara chache chache.
MIMI: Okey. Thats gud then.
ENDELEA KUSOMA HADITHI HII HAPA>>>>>>>>>>>>>>

Related

TOUCHING STORY 6252711549386817109

Post a Comment

2 comments

Anonymous said...

hapo chacha patamu mapenz ya facebook,napenda kujua itakuwa saa ngap hyo part 2 mr meshack

Anonymous said...

ni mimi chico wa chico,napongeza cna stry nzur nina subr hyo no 2

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item