RIWAYA: PAINFUL TRUTH (UKWELI WENYE KUUMA)----------2

 

MTUNZI: Nyemo Chilongani

MAWASILIANO: 0718 06 92 69

SEHEMU YA PILI


Wayne akalala kifuani kwake, Happy akabaki akilia tu kwa maumivu makali. Bikira ambayo alikuwa nayo ndio ilikuwa siku ya mwisho kukaa mwilini mwake. Shuka likatapakaa damu. Happy akabaki akilia, hakuamini kama kweli kwa siku ile alikuwa amefanya mapenzi kwa mara ya kwanza.
“Mungu wangu! Kumbe niko kwenye tarehe zangu za kupata mimba” Happy alijisemea huku akionekana kushtuka katika kipindi ambacho Wayne akiwa pembeni akichukua taulo na kuelekea bafuni kuoga.



Macho ya Happy yakaanza kuwa mekundu, machozi yakaanza kujikusanya machoni mwake na baada ya sekunde kadhaa yakaanza kutiririka mashavuni mwake. Hakuamini kile ambacho kilikuwa kimetokea dakika chache zilizopita.
Alichokifanya huku akionekana kuchanganyikiwa ni kuanza kukimbia kuelekea nje ya chumba kile. Akaanza kushusha ngazi haraka haraka kuelekea chini huku akionekana kuchanganyikiwa.
Alipofika nje ya jengo la hoteli ile, akaanza kukimbia kuelekea nyumbani kwa shangazi yake. Njia nzima alikuwa akilia, moyoni alionekana kuumia kupita kawaida, kufanya mapenzi katika moja ya siku ambazo alikuwa na uhakika wa kupata mimba kulionekana kumuumiza kupita kawaida.
FUATILIA HAPA>>>>>>>>>

Related

RIWAYA: MREMBO ALIYEPOTEA-----------------5

MTUNZI: Andrew Carlos MAWASILIANO: 0713133633 SEHEMU YA TANO Ule mkojo uliokuwa ukimchuruzika John kidogo kupitia suruali yake kwa uoga sasa ukawa umeongeza kasi nakuwa mwingi sana hali...

RIWAYA: MREMBO ALIYEPOTEA-------- 4

SEHEMU YA NNE ... Tatizo la kutokuweza kupata mtoto liliendelea sana kumsumbua John Mapunda. Pesa nyingi alizokuwa akizipata kupitia kazi yake ya kusimamia shughuli za urembo hazikuweza kumpa ...

RIWAYA: MREMBO ALIYEPOTEA---------- 3

MTUNZI: Andrew Carlos MAWASILIANO: 0713133633 SEHEMU YA TATU ... Alice aliita kwa sauti ya uoga uoga huku akijiumauma kwa kutokujiamini bila majibu yeyote kwani ndio kwanza Angel alijige...

Post a Comment

1 comment

Anonymous said...

Etliche sex chat Frauen und nackte Amateure warten auf Dich um Dir ganz private Sachen beim sex chat zu vorstellen.


Here is my web blog; sex cam

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item