HII NDIO STYLE MPYA YA RIAHANA MABINTI WA KIBONGO MTAWEZA????

Baada ya Rihanna kutoka na style nyingi sana za nywele sasa ya leo ni kali maana katoka na style mpya ya nywele pamoja na vazi lake mpya la namna ya kipekee. Kila mara Rihanna anapotoka na mtindo fulani wa nywele au mavazi wadada wengi wa bongo wanamwiga, swali ni kwamba je kwa mavazi aliyotoka nayo sasa wadada wa kibongo mtaweza?????

Related

music 4266557351853474763

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item