MOYES AMTEUA GIGGS KUWA KOCHA MCHEZAJI

Kocha mpya wa Manchester United David Moyes Leo amemtangaza Ryan Giggs (39), kuwa kocha mchezaji. Giggs ambaye alieongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Manchester United mnamo mwezi March, atamalizia mfunzo ya ukocha na kupata leseni ya UEFA mwaka huu.

Akinukuliwa na mtandao wa MAN UTD alisema "Giggs ana uzoefu wa kutisha na hii timu, hivyo kuwa kwenye bench langu la ufundi atakuwa msaada mkubwa sana"

Related

Sports 2778089404099600362

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item