DRAW YA HATUA YA AWALI YA MTOANO UEFA YATOKA

Kuelekea hatua ya makundi ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE, tayari timu ambazo zinapaswa kuwania nafasi hizo ikiwemo Arsenal na Ac Milla zimepangiwa timu za kupambana nazo na baada ya hapo zitakazoshinda zitafuzu hatua ya makundi.

Draw ni kama ifuatavyo

Champions League Play-off Draw:

Fenerbahce v Arsenal

Dinamo Zagreb v Austria Wien,

Ludogorets Razgrad v Basel,

Viktoria Plzen v Maribor;

Shakhter Karagandy v Celtic,

Steaua Bucuresti v Legia Warszawa,

Olympique Lyonnais v Real Sociedad,

Schalke v Metalist Kharkiv,

Pacos de Ferreira v Zenit St Petersburg,

Eindhoven v AC Milan

Hapo atakayeshindwa kwa mechi ya ugenini na nyumbani itakuwa kwa heri

Related

BARCA YANYOLEWA NA BAYERN 4-0

  >> Hiki ni kipigo cha aibu kwa Barcelona >> Mara ya mwisho ilikuwa mwaka 1997 waliponyolewa na PSV ya Uholanzi >> Messi alikuwa mpole mbele ya Robben  Alexis Sanchez...

HII NDIO NUSU FAINALI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

REAL MARDID USO KWA USO NA DORTMUND TENA BAYERN KUWAKABILI WAZEE WA UEFALONA   UTABIRI WANGU NI BAYERN v REAL MADRID WEMBLEY SOMA HABARI KAMILI >>>>>>>>>>>>>>>

HIVI NDIVYO MAN UNITED ILIVYOTILEWA NA REAL MADRID KWENYE UEFA

Siamini....! Luis Nani wa Man U akisikitika kwa kushika kichwa baada ya kutolewa na refa kwa kadi nyekundu ya utata kufuatia kumpiga teke kwa bahati mbaya beki Arvalo Arbeloa ...

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item