MAN UNITED ITARUDI KILELENI DECEMBER: JICHO LA TATU

MAN UTD WAPO NAFASI WA 9 ILA  WATURUDI KILELENI KWA HAYA YAKITOKEA.

Ni ukweli usiopingika kuwa, mwaka huu hatupo vizuri. Lakini naamini hadi mwezi wa 12 kuna timu itashuka na sisi tutapanda. Kitu ambacho nakiangalia hapa ni kwamba, timu zilizopo juu yetu lazima kuna ambazo zitamaintain na kuna ambazo zitashuka.

CHELSEA (14) V ( 16) mmoja wapo akifungwa lazima atadrop na incase Chelsea imeshinda itafikisha point 17 na Arsenal kubaki na 16, maana yake kama Man United ikishinda mechi yake itafikisha 13, na pengo la point na mtu anayeongoza ligi litapungua kutoka 6 hadi 4, na kama Chelsea ikifungwa tutaibakisha Chelsea point na kutufanya tuwe karibu na position ya juu na kama wakatoka draw basi itakuwa nzuri zaidi kwetu.

Arsenal 16 & Liverpool 16, matokeo yeyote kwenye hii mechi yanafaida kwetu, maana ni lazima point zishuke kwa wote au mmoja wapo.

Chelsea 14 & Man City 13, hii mechi ni amani sana kwetu maana kama City ikifungwa tunalingana point, kama Chelsea ikifungwa atatuacha point moja na kama zitatoka sare basi ni jambo jema maana atakayetuzidi ni point mbili tu.

Liverpool 16 & Man City 13, Hii mechi ni ngumu sana ila ukweli ni kwama kwetu ina faida kubwa sana. Kama Liver ikishinda, Man City  tunaikamata, na kama liver ikifungwa  basi itashushwa point 3 muhim na kama zitatoka sare basi heri kwetu maana tutaibakisha City point moja na Liver nne.

Arsenal 16 & Man city 13, Hii ni kama ya Liver na City.

Chelsea 14 & Liver 16 ni kama ya  Arsenal na Chelsea.

Mechi hizo zote nimeziweka in case zitachezwa round ijayo na si kama ratiba ya EPL ilivyo.

kwa sababu hizo nafahamu fika kuna timu inaweza kupoteza zaidi ya point 6, wengine 4, wengine 3 na kuna timu ambazo zitamaintain. Kwa hiyo top 4 mpaka December itakuwa imebadilika na najiamini MAN UNITED TUTAKUWA ON TOP FOUR, TENA TOP TWO. anzeni kujichunga mapema nani ashuke kati yenu na nani amaintain nafasi yake. Watu wa kwanza kujiuliza ni Liver na Arsenal maana watakutana na wakitoka draw basi mjue top Two kwa heri maana MAN CITY n CHELSEA wapo karibu yenu, na kama mmoja akifungwa basi kurudi juu itakuwa ngumu. Hivo hiyo inaitwa Kazi Ni Kwenu.

HUU NI MTAZAMO TUU, HAULENGI KUHARIBU TABLE YA SASA WALA IJAYO na Haitengui matokeo ya sasa na ya jayo.

Related

Sports 1569559240264265360

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item