BREAKING NEWZZ: WARAKA WA SIRI CHADEMA WAVUJA TENA, NI WA DR. SLAA NA MBOWE

Ndugu watanzania, nimelazimika
kuusambaza kwa KUUATACH waraka huu wa siri wa mawasiliano ya ndani ya chama baina ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Katibu mkuu, na wanaoitwa wajumbe wa baraza la
maamuzi la chama ambao kwa kweli sijafanikiwa kuwafahamu.
Waraka huu nimeuchomoa kwenye file la kazi za kila siku za ndugu HEMEDI SABULA ambaye ni Afisa wa kurugenzi ya ulinzi na usalama wa CHADEMA MAKAO MAKUU.

Ujumbe uliokuwepo ndani ya huu waraka ni wa kusikitisha sana  kiasi kwamba nimeshindwa kuvumilia kuacha kuona watanzania wakiendelea kupotoshwa
namna hii.

Tafadhali wanahabari sambazeni ujumbe huu ili watanzania wengi zaidi waweze kuendelea kutambua kinachoendelea ndani ya chama chetu.
Ninaomba niendelee kuficha jina langu kwa sasa

Niiteni mwanamapinduzi mzalendo.
Makao makuu chadema

Related

CHADEMA 7640558590486688801

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item