RAINCATCHER CLUB WATOA ELIMU YA MATUMIZI YA

Team ya Raincatcher Tabora (Saut Tabora)  na Raincatcher Imperial(London Uk) leo hii wametembelea shule ya Wasichana ya Tabora na kutoa elim...

ITALY YAIVURUMISHA URUGUAY

Italia bila ya Pirlo  leo imeifunga timu ya Uruguay kwa jumla ya penalti 3-2. Timu hizi zilifikia hatua ya matuta baada ya kwenda sare kwa m...

GERRARD AITABIRIWA MAKUBWA MAN UTD NA DAVID MOYES

Kiingo wa Liverpool na England Steven Gerrard ameitabiria makubwa MAN UTD msimu ujao. Gerrard aliyasema hayo wakati akihojiwa na skysport, ...

SPAIN WATINGA FAINAL KWA MATUTA, KUWAVAA BRAZIL JUMAPILI

Timu ya taifa ya Uhispania imetinga fainali kuikabili kwa jumla ya penalty 6-7 dhidi ya Italy. Timu hizo zilienda kwenye matuta baada ya sar...

ISCO ATUA MADRID

Kinda wa Malaga ISCO hatimaye ameikacha Manchester City na kujiunga na Real Madrid. Wengi walifikiri Isco ataambatana kocha wake wa zamani P...

HAYA SASA MSIMU MPAYA EBSS 2013 WAANZA RASMI, WASANII JITOKEZENI

Msimu wa EPIQ BONGO STAR SEARCH 2013 unaanza rasmi, taarifa kupitia page ya Facebook ya EBSS leo hii wameandika juu jinsi ya kujisajili na E...

NAPOLI WASHINDWA KUMSAJILI BEKI WA LIVERPOOL

  Club ya soka ya Napoli iliyo Serie A imeshindwa kumsajili beki wa Liverpool. Club hiyo iliyokuwa inahitaji huduma ya mchezaji huyo im...

HIGUAN KUTUA RASMI THE GUNNERS

Higuan kukamilisha uhamisho wake kwenda Arsenal baada ya The Gunners kupaa kwenda Madrid kwenda kukamilisha uhamisho wake, kwa mujibu w...

MAN CITY KUACHANA NA CAVANI SASA KUMSAJILI ISCO NDANI YA MUDA MFUPI UJAO

Club ya Manchester city imekata tamaa ya kumsajili Cavani sasa macho yao ni kumsajili Isco ndani ya muda mfupi ujao. City wameelekeza n...

THIAGO ALCANTARA NJIANI KUJIUNGA NA MACHESTER UNITED

Thiago 22, yuko katika hatua za mwisho za kujiunga na club ya Manchester United. Kiungo huyo mkabaji amekuwa akitolewa macho na timu hiyo ya...

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

index