HII NDO KUSEMA TUNDU NA UTUNDU WAKE NA MAKINDA NA UKINDA WAKE

Unaweza kufikiri kwamba ilikuwa wapi na ilikuwaje Tundu Lisu a Anne Makinda wakadance pamoja?? Je unaweza kuweka maneno ambayo Tundu Lis...

MAWAKILI RUKSA RUFANI ZA UCHAGUZI TFF

WAOMBAJI uongozi kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi Kuu (TP...

HII NDIO DIGITAL:Wakutwa Wakicheza Mziki Huku Wakishikana Nyeti Mbele za Watu

Katika Hali isiyo ya Kawaida Vijana hawa wawili walikutwa na Kamera wakicheza huku kijana akimshika mwanamke ziwa pamoja na nyeti zake ...

HALIMA MDEE ATIMULIWA KWENYE KIKAO CHA KAMATI YA MAADILI

Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee, ametimuliwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya B...

KIBONZO: HII BARUA BALAA >>>KAMA WEWE UNGEMPA KAZI?????????????

TID KUSHIRKI BIG BROTHER AFRICA 2013>>>>>Achukua Form Za Kujiunga Na Big Brother Africa - 2013

After All That was said and done, TID "Mnyama" amekuwa ni miongoni mwa ma-st...

Shonza: Nitagombea uenyekiti Bavicha>>>>>>>>>>> aweka nia yake wazi kwenye ukurasa wa Facebook

Kupitia akaunti yake ya facebook leo Juliana Sonza alianza kuweka wazi nia yake kwa kuunganisha na habari iliyokuwa kwenye gazeti la Mta...

TANZANIA YAICHAPA CAMEROON >>>>>>>>>>>>>>>HAYA NDIO MATOKEO YA MECHI ZA KIRAFIKI ZA FIFA

 Pongezi kwa Taifa Stars kwa kututoa kimasomaso leo kwenye dimba la Uwanja wa Taifa Mpira umechezwa vizuri kila mmoja ameona na muda mzur...

DK.SLAA ALAANI YALIYOTOKEA BUNGENI

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Willbrod Slaa amefanya mkutano na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam ambapo amesema 1. CHADEMA Inalaa...

KAMATI YA UCHAGUZI NI MADUDU MTUPU-SHAFIH DAUDA

HUU NDIO UKWELI WA KUENGULIWA KWA SHAFFIH DAUDA KTK UCHAGUZI WA TFF - NA MADUDU MENGINE YA KAMATI YA UCHGUZI Februari, 2013 K...

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

index