OKWI STOP KICHEZEA YANGA

Huku Ligi ya kandanda nchini Tanzania ikitarajia kuanza mzunguko wake wa Pili Mwishoni mwa juma hili, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...

BREAKING NEWZZ:: MBUNGE WA CHALINZE (CCM) AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba; Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa...

MCHOMVU, B12(DOZEN) & DIVA OUT CLOUDS FM

WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa...

CRISTIANO RONALDO NDIE MCHEZAJI BORA WA DUNIA MWAKA 2013

Hii ni mara ya pili kwa Ronaldo kutwa tuzo hiyo ya heshima zaidi duniani. Mara ya kwanza alitwaa mwaka 2008 akiwa na Manchester United na le...

KAMA HUJUI::: HIZI NDIO SIRI ZA MACHALI, KAFULILA NA MKOSAMALI KUIHAMA CHADEMA

Wakati mambo yakizidi kuenda mrama ndani ya CHADEMA, Mh. Moses Machali [ mb] ameibuka na kutangaza hadharani siri za kuihama CDM na baadhi y...

ZITTO::: LISSU WEWE NI KIFARANGA TU NAMTAKA MAMA WA KIFARANGA,

Baada ya kauli ya Kamati kuu ya Chadema kutoa tamko lao leo, Zitto Zuber Kabwe amemuonya Lissu kuingilia kitu asuchokijua. Haya hapa chini ...

SIMULIZI YA KWELI::: KAMA UNAMACHOZI YA KARIBU USISOME..!! SIMULIZI YA KWELI YA KUSISIMUA NA KUSIKITISHA YA MTOTO JANETH..!!

Kengele ya kutoka darasani iligongwa, wanafunzi wa shule ya msingi wakaanza kutoka madarasani huku wakifukuzana wengine wakipiga kelele ...

WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2014 WATANGAZWA

Jumla ya watahiniwa 411,127 kati ya 427,609 waliofaulu mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka 2013 wamechaguliwa kujiunga na elimu ya seko...

AJIRA 26 ,000 ZA WALIMU KUTOLEWA JAN, 2014

SERIKALI imetangaza kutoa ajira mpya 26,000 za walimu kuanzia Januari mwakani, ikiwa ni mpango endelevu wa kupunguza uhaba wa walimu katika ...

PICHA YA WIKI::: TUNA MWANGAZIA NELSON MANDELA NA MANENO YA BUSARA ALIYOWAHI KUYANENA JUU YA KIFO CHAKE

Wiki hii Raisi wa zamani na mkombozi wa Afrika Kusini Nelson Mandela alifariki Dunia na kuacha simanzi kubwa kwa wafrika. Mungu ailaze Roho ...

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

index