HALI TETE YA MAFUTA JIJINI MBEYA, BODA BODA WAVAMIA KITUO CHA MAFUTA CHA ORXY KUTAKA KUHAKIKISHIWA KUWA MAFUTA HAKUNA, HUKU PEMBENI YA BAADHI YA VITUO VYA MAFUTA VIJANA WANAUZA PETROL LITA TANO KWA 20,000 Tshs. SHUHUDIA
KITUO CHA ORXY VIJANA WA BODA BODA WAKIWA WAMEVAMIA KITUO CHA ORXY KUTAKA KUJUA KAMA KWELI KUNA MAFUTA AMA LAH....
