DIAMOND FT KOFFI ~ WAAA DANCE (KIDEGEMBYE SECONDARY SCHOOL)

Bernard kamilius Membe, leo tarehe 16,07,2020 amewahutubia wanachama wa ACT WAZALENDO, amelitangazia taifa kuwa yeye ni Rasmi ni mwanachama wa ACT WAZALENDO. akiwahutubia wanachama wa ACT na kuwap...
Nyota wa soka dunia Ibra Cadabra leo ameijulisha rasmi dunia kuwa anaelekea MAN UNITED. amethibitisha kauli hii kwenye ukurasa wake wa Instagram SOMA HABARI KAMILI >>>>>>>>>>>>>>>
KLABU ya Manchester United imezipiku Bayern Munich na Real Madrid na kurejea kileleni katika orodha ya klabu zenye thamani kubwa kwenye ulimwengu wa soka, kwa kufikisha utajiri wa dola za Kimarekani ...
Cristiano Ronaldo raia wa Ureno amekuwa mchezaji anayeuzika zaidi kwa wale wanaotokea barani Ulaya. Ronaldo amewapiku wachezaji wengine nyota kama Arjen Robben, Wayne Rooney na Gareth Bale ambao ...
>YAICHAPA DODOMA ACADEMY 2-0 >WAWEKA KIBINDONI MILIONI 5 MUCOBA FC iliyo chini ya benki ya wananchi wa Mufindi (Mufindi Community Bank),imetwaa taji la muungagano cupkwa luifunga Dodoma Academy...
Bernard kamilius Membe, leo tarehe 16,07,2020 amewahutubia wanachama wa ACT WAZALENDO, amelitangazia taifa kuwa yeye ni Rasmi ni mwanachama wa ACT WAZALENDO. akiwahutubia wanachama wa ACT na kuwap...
Nyota wa soka dunia Ibra Cadabra leo ameijulisha rasmi dunia kuwa anaelekea MAN UNITED. amethibitisha kauli hii kwenye ukurasa wake wa Instagram SOMA HABARI KAMILI >>>>>>>>>>>>>>>
KLABU ya Manchester United imezipiku Bayern Munich na Real Madrid na kurejea kileleni katika orodha ya klabu zenye thamani kubwa kwenye ulimwengu wa soka, kwa kufikisha utajiri wa dola za Kimarekani ...
Walimu walala jikoni kwa miaka mitatu! KATIKA hali ya kusikitisha, walimu wa Shule ya Msingi Iyogelo iliyoko katika kata ya Kining’inila Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wamekuwa wakiishi jikoni ...
MGENI RASMI: DR. OCHIENG ORWENJO (KENYATA UNIVERSITY-KENYA) Kongamano la kielimu linalohusu matunizi ya lugha hususani hapa Tanzania linafanyika muda huu hapa chuoni na mada ambazo tayari zimewasilish...
SAUT TABORA Semina ya ujasiriamali ambayo ilianza toka jana hapa Tabora leo yafikia siku ya pili na mwisho, wanafunzi wengi wa chuo hiki wamejitokeza kuhudhuria seminar hii muhimu kwa vijana amb...
Kengele ya kutoka darasani iligongwa, wanafunzi wa shule ya msingi wakaanza kutoka madarasani huku wakifukuzana wengine wakipiga kelele ilimradi shwangwe tu. Ilikuwa mara yangu ya kwanza kufundisha s...
MWANDISHI: NYEMO CHILONGANI. MAHALI: DAR ES SALAAM. SIMU: 0718 069 269 MSICHANA: Ndio najiandaa mpenzi. Unataka nivae mavazi gani? MIMI: Vyovyote tu. Ila sipendelei kukuo...
MTUNZI: Nyemo Chilongani MAWASILIANO: 0718 06 92 69 SEHEMU YA TATU “Nitachagua wa kumuoa hapo baadae. Ila hata Happy nae anafaa sana. Mmh! Wazazi watanielewa vipi kama nikim...
Dar es Salaam. Utata mpya umeibuka kuhusu matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya wagombea watatu waliotangazwa washindi kuwekwa kando ikidaiwa kuwa badala yake walioshindwa walia...
Wakati mambo yakizidi kuenda mrama ndani ya CHADEMA, Mh. Moses Machali [ mb] ameibuka na kutangaza hadharani siri za kuihama CDM na baadhi ya watu maarufu waliokihama chama hicho. *******************...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YA NDUGU ALLY O. CHITANDA NDG: WANA HABARI: Kwanza kabisa ninawashukuru kwa kuitika wito wangu. Jina langu naitwa ALLY OMARY CHITANDA, nimejiunga CHADEMA mwaka 2003 nikit...
Zitto katika Facebook wall yake "Kuchukua au kutochukua posho za vikao kama mbunge ni suala la misingi (principles) na sio suala la uwezo kifedha. Kuna wabunge matajiri sana lakini wakachukua posho na...
TAARIFA KWA UMMA WA WANA MWANZA,WATANZANIA NA VYOMBO VYA USIMAMIZI WA SHERIA JUU YA UFISADI WA KUTISHA NA UBADHILIFU WA FEDHA ZA UMMA KATIKA MIRADI YA UJENZI WA JENGO LA KLINIKI YA MAMA NA MTOTO UTEMI...
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ....
DAILY MIRROR Chelsea have been told they do have hope of signing Manchester United striker Wayne Rooney - if manager David Moyes can find a replacement for the England international. Arsenal have turn...
Manchester United manager David Moyes has a week to decide whether to sign Marouane Fellaini - THE SUN Manchester United landing Cesc Fabregas is set to trigger the sale of Wayne Rooney to Chelsea...
1. Gonzalo Higuaín has agreed personal terms with Arsenal of around £130k/week ahead of a £22million move. (Telegraph) 2. John Obi Mikel confirms he's agreed to join Galatasaray & w...
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . SOMA HABARI KAMILI >>>>>>>>>>>>>>>
BAADA YA SALAM ZAO YA NEY WA MITEGO..!! Rita Paulsen aka Madam Rita wa Bongo Star Search na Walter Chilambo tayari wameshazijibu Salamu za Ney wa Mitego na jana ilikuwa zamu ya Mbunge wa Kigoma Kaska...
Kwa mujibu wa gazeti la Forbes, Lady Gaga ndio msanii mwenye mkwanja mrefu zaidi kushinda wasanii wote walio chini ya umri wa miaka 30, pamoja na msanii huyo kufanyiwa upasuaji wa paja lakini bado ame...
Kupitia Account ya Facebook msanii wa bongo fleva na mshindi wa tuzo tatu za Kili Tanzania Music Awards 2013 Ommy Dimpozi amewaomba watanzania wote ambao walikerwa na kuchukizwa na maneno yake juu ya ...
MBONGO NAYE ALIKUWEPO KUMWAGA SOMA HABARI KAMILI >>>>>>>>>>>>>>>
Kocha wa Manchester United ametangaza leo kuwa ameachia ngazi na mrithi wake kutangazwa muda si mrefu Wengi wanaopigiwa upatu ni pamoja na Mourinho, David Moyes wa Everton na Kloop wa Dortmund. ...
Crew ya Min Buzz inayoongozwa na Kijo na Bi Kiroboti toka Jana Jumatatu imetua mkoani Manyara hususani Babati Mjini. Akizungumza na MeNaco.com ndugu KIJO ambaye pia ndio mwendesha kipindi cha Mini Buz...
Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh S...
AJALI hii imetokea leo maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar es Salaam baada ya dereva wa gari aina ya Toyota Mark II lenye namba za usajili T382 APA anayedaiwa kuwa alikuwa amelewa kuacha njia na kutumbuki...
Shirikisho la wanachama wa Chama cha Mapinduzi ( UVCCM SAUT TABORA) limeandaa mahafali yao ya kuwapongeza wanachama wenzao wanaohitimu masomo yao ya shahada ya kwanza chuo hapo. Akizungumza na M...
Mwanamziki nyota wa bongo fleva nchini Diamond platnumz leo ametoa darasa kwa vijana wa kiislamu juu ya upakaji rangi nywele. Diamond alitoa ushauri huo kupitia account yake ya Instagram. " diamondpla...