WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WAPANDA MLIMA KILIMAJARO LEO.

Wachezaji wa zamani na malegend wa timu yenye mashabiki wengi duniani Bob Robson, na Kevin Moran leo wamepanda mlima Mrefu kuliko yote Afrik...

UCHAGUZI WA NDANI YA CHADEMA KUNA NINI? : NAULIZA TU

Nauliza tu jamani! 1. Hivi uchaguzi wa Ndani wa Chama kinachojieleza mbele ya umma kuwa kinajali Demokrasia na Maendeleo umeshafanyika? Kam...

WENJE NDANI YA KASHFA NZITO YA UFISADI WA MAMILIONI YA FEDHA YA MIRADI YA JIJI LA MWANZA.

TAARIFA KWA UMMA WA WANA MWANZA,WATANZANIA NA VYOMBO VYA USIMAMIZI WA SHERIA JUU YA UFISADI WA KUTISHA NA UBADHILIFU WA FEDHA ZA UMMA KATI...

MAN UNITED ITARUDI KILELENI DECEMBER: JICHO LA TATU

MAN UTD WAPO NAFASI WA 9 ILA  WATURUDI KILELENI KWA HAYA YAKITOKEA . Ni ukweli usiopingika kuwa, mwaka huu hatupo vizuri. Lakini naamini ha...

RAIS BANDA AWAFUKUZA MAWAZIRI WAKE WOTE KWA UFISADI

Rais wa Malawi, Joyce Banda amelifuta kazi baraza lake la mawaziri kutokana na kuongezeka kwa visa vya ufisadi serikalini. Maafisa wa serika...

UNANIDANGANYA WENGER :- JOEL CHUKU VERMINATOR

Mti Bila Mzizi Utakua Vipi Miaka Nane Bila Kombe Na vile Tulivyokua Tunajiongopea Wenyewe Kila Siku...... Tulikua na Tony Adams wetu, Marti...

HAPPY BIRTHDAY DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Ni jambo la kumshukuru Mungu pale unapotimiza miaka kazaa tangu ulipozaliwa, Unapoikumbuka siku hii naamini unakumbuka mengi yaliyotokea nda...

YUSUPH BAKHRESA AKUTWA NA GARI YA MMILIKI WA MANCHESTER CITY

Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya...

ADNAN JANUZAJI NI HABARI YA MUJINI, AIBEBA MAN UTD, AIU SUNDERLAND, APIGA MBILI PEKEE YAKE, STAILI YA UCHEZAJI YAWAKOSHA WENGI

Chipukizi wa Manchester United, Adnan Januzaj amekuwa habari ya mujini kutokana na Kiwango chake usiku wa leo, Adnan ameifungia timu yake ya...

DAR INADEKEZWA: ZITTO KABWE

Naibu katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge Wa Kigoma Zitto Zuberi Kabwe amesema Jiji la Dar linadekezwa kwa kutengewa Bajeti kubwa ikidhaniwa nd...

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

index